Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Hata hao wasiojua Kiswahili pia nao wakikijua hata kidogo tu basi huhisi raha wakizungumza na wenyeji. Sasa vivyo hivyo ndivyo sisi tusiojua kiingereza, tunajihisi. Hakuna anayedharau lugha ya mama. Huko nje ya nchi mkikutana waswahili mbona raha kwani ndio huboeki tena kama ingekuwa twakitukuza sana hicho kiingereza chao basi hata tukiwa ughaibuni tungekuwa bado tunalonga hiyo lugha sisi kwa sisi waswahili. Au nimedanganya hapo?Kiingereza mna kithamini, kiswahili lugha mama mnakidharau. Hii imekaaje!
Mswahili akijua kuongea kiingereza humwambii kitu, ni kama kapewa dunia yote amiliki 😂
Kingekingekinge 😱Alafu bado kuna watu wanasema kiingereza hakina umuhimu.
Mh! Hii mbona kama ngumu 'kumeja' ee, 'kumeja' apapapa.Jibu hilo hapo.View attachment 1734145
Kwahiyo na Uongo wanafundishwa kwa jina la kulina anaemtumikia?Jibu hilo hapo.View attachment 1734145
Kuambiwa jiwe hakuwa mpenda safari ni tusi hilo, duh?Jibu hilo hapo.View attachment 1734145
Uongo ni dhambi, yule jamaa mshamba tuKwahiyo na Uongo wanafundishwa kwa jina la kulina anaemtumikia?
Sasa kama huyo mchina akisema kwa kichina kuwa "kamfinyeni huyu huko mbele!" Halafu mkaliman atafsiri kinyume huoni kuwa maana ya ukalimani inapotea?Mkuu, asante kwa taarifa.
Maoni yangu, kama kiingereza unakijua, na umeelewe kilichosemwa, tafsiri ya kiswahili inakuhusu nini? "Shauri yao wasiojua kiingereza".
Pia, kama tafsiri ya maneno haipo sawa kabisa na maneno yaliyotamkwa, lakini tafsiri hiyo haiathiri mawasiliano yanayoendelea, kuna tatizo gani? "Shauri yao wasiojua lugha hiyo"
Halafu, kwa nini kuzogoa makosa ya tafsiri ya 'english - swahili', ile ya french - swahili' mliielewa vizuri?
Wanadiplomasia wamesema, kuna ukakasi kwa maneno yaliyosemwa, hivyo haikuwa busara kwa mkalimani kuyatafsiri kama yalivyotolewa. Mfano, ukitukanwa kichina, wakati kichina hukijui, mkalimani wako akatafsiri kuwa unasifiwa, wewe ni mtu mzuri, si ndio busara na diplomasia yenyewe?
Hapo ndio utawatambua wabongo na kuwavulia kofia kwa ujuwaji. Wale waliosema damu itamwagika TZ watasubiri sana.
Tambua ule ni mfano tu. Hapa ni suala lingine ambalo pia ni mfano tu . Sasa unataka tuanze kubishana kutokana na mifano!Sasa kama huyo mchina akisema kwa kichina kuwa "kamfinyeni huyu huko mbele!" Halafu mkaliman atafsiri kinyume huoni kuwa maana ya ukalimani inapotea?
Diplomasia alipaswa kunyamaza na kusubiri maneno yaliyo fuata!
Kuongopa siyo diplomasia
Leo yupo clouds! Wamemhoji kadai mawimbi yalichanganya hakusikiaCaptain. Anafundisha pale chuo Cha DMI
Leo yupo clouds! Kakana hilo kadai cyuuuuzzz ilimvurugaJibu hilo hapo.View attachment 1734145
Kumbuka mtafsiri alikuwa ktk hali ya simanzi so kupoteza concentration ni kawaida
Simanzi gani wewe ????