VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

Maskini Mwamposa hadi akarudia x2 ili ujumbe ufike
 
Kuna wanao dai angetafsiri kwa usahihi wana ‘nzengo’ wange chukulia kama udhalilishaji kwa marehem mpendwa wao, hivyo mtafasiri akaona mi bora yeye abe be lawama kwa kupindisha mameno kidogo
 
Wengine tulikuwa shamba kulima sasa hatuelewi kimetokea nini tuambie alikosea nini huyo mkalimani,
Wazee wa acheche production wanatupigaga kamba Sana tunavumilia tu kwa sababu hatukusoma.
 
Rubbish... Mbona kwenye TV watangazaji wanaelezea matukio yote ya msiba kwani wao hawana simanzi??
Yule jamaa ni mtu ambae alikuwa karibu na hayati, yule ni mwajiriwa wa mjengoni pale pale so huwezi jua ukaribu wake na hayati...ibaki tu kusema alikuwa ktk simanzi bac kodogo akateleza
 
Watu wanatumia leso kufuta jasho. Ila Kabudi alikuwa anatumia leso kujifutia mate pemben ya midomo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…