VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

I felt honored because President Magufuli was not a great traveller,He didnt like traveling very much,He preferred to stay here at home.

Nilijisikia kuheshimiwa kwasababu Mh. Magufuli alikuwa ni mtu Imara, mwenye upendo ambaye alipenda kusikiliza na kutoa mwongozo kwa wenzake”
 
Katunga ya kwake huyo mkalimani.
 
Hii tafisri ya kizalendo [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
 
Kiukweli hili la uwanja wa taifa linaweza kuwa ni uzembe kwa waandaaji wa shughuli na waathirika walioingia na watoto kiwanjani.

Ila lile la mkalimani pale uwanja wa Jamhuri kutafsiri kwa kubabaika na wakati mwingine kuleta sintofahamu ni sawa kabisa na uhujumu wa hotuba.
 
Ha ha ha ha ha aisee hiyo tafsiri ni balaa sijui alikumbwa na nini ila aliomba radhi na kurekebisha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shetani akiamua kushuka na wewe anashuka na wewe Jumla Jumla
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…