Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Mpaka tunaingia kwenye ballot box mwezi Oktoba tutaona mambo mengi sana kutoka kwa hawa wanasiasa.
=======================================================
Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Zainab Abdallah akitoa burudani jukwaani kabla ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na wananchi wa Muheza, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani Tanga.
Rais Samia yupo mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ambapo anakagua na kuzindua miradi mbalimbali, pamoja na kuzungumza na wananchi.