Ana furahia yeye na mumewe wanalipwa mamilioni ya wanyonge huku wananchi wanaowaongoza ni masikini wakubwa. Hovyo kabisaWakuu,
Mpaka tunaingia kwenye ballot box mwezi Oktoba tutaona mambo mengi sana kutoka kwa hawa wanasiasa.
=======================================================
Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Zainab Abdallah akitoa burudani jukwaani kabla ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na wananchi wa Muheza, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani Tanga.
Rais Samia yupo mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ambapo anakagua na kuzindua miradi mbalimbali, pamoja na kuzungumza na wananchi.
Tumekubali kuongozwa na wajinga acha tuvumilieTaifa haliwezi kuendelea kwa kutegemea wafanya mizaha.
MIJITU YA PWANI OVYO KABISAInaonekana wananchi wanapenda sana burudani kuliko mambo muhimu ya Taifa lao.
Mtu anafurahia mume wake anaiba bila kusumbuliwa, na yeye analipwa mamilioni ya kufa mtu bila kazi ya maanaMIJITU YA PWANI OVYO KABISA
Ndiyo maana Tanga imejaa masikini tupuInaonekana wananchi wanapenda sana burudani kuliko mambo muhimu ya Taifa lao.
Hiyo ni taaluma kama taaluma zingine.Hivi umemuona DC tu naibu waziri hujamuona?Wakuu,
Mpaka tunaingia kwenye ballot box mwezi Oktoba tutaona mambo mengi sana kutoka kwa hawa wanasiasa.
=======================================================
Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Zainab Abdallah akitoa burudani jukwaani kabla ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na wananchi wa Muheza, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani Tanga.
Rais Samia yupo mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ambapo anakagua na kuzindua miradi mbalimbali, pamoja na kuzungumza na wananchi.
Hakuna nchi ambayo wananchi wake wote ni matajiri!.Ana furahia yeye na mumewe wanalipwa mamilioni ya wanyonge huku wananchi wanaowaongoza ni masikini wakubwa. Hovyo kabisa
Watasubiri sana kupata maendeleo ya kweli hao viumbe kwa kufurahia kurusha rusha mikono hewani.Wakuu,
Mpaka tunaingia kwenye ballot box mwezi Oktoba tutaona mambo mengi sana kutoka kwa hawa wanasiasa.
=======================================================
Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Zainab Abdallah akitoa burudani jukwaani kabla ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na wananchi wa Muheza, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani Tanga.
Rais Samia yupo mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ambapo anakagua na kuzindua miradi mbalimbali, pamoja na kuzungumza na wananchi.
UWT huna akili, kuwateua mke na mume ni kwamba watanzania wengine hawana sifa? acha kutetea upumbavu, nafasi ni za upendeleo ndiyo maana hakuna maendeleo.Hakuna nchi ambayo wananchi wake wote ni matajiri!.
Hakuna nchi ambayo wananchi wake wote ni masikini!.
Hakuna nchi ambayo wananchi wake wote wameajiriwa na serikali!.
Hakuna nchi ambayo serikali yake inagawa pesa kwa wananchi wasiofanya kazi!.