Hizi hoja za huyu Mpina sijui kama huyo Naibu Waziri na mawaziri wengine huwa wanajiandaa kuzijibu, mara nyingi nawaona wanatoa majibu ya zimamoto ilimradi muda uende.
Mpina anaonekana kufanyia uchunguzi juu ya hoja zake anazoibua, lakini hawa jamaa na majibu yao nawaona wanajibu tu bora swali lipite.