yule mkongwe wa mziki wa kizazi kipya ambae pia ni mbunge wa mikumi.. ameachia bonge la video.. kwenye wimbo wake wa vunja mifupa
.ee bwana eeeh huyu mshikaji hajawai kukosea.. pamoja na majukumu ya kibunge lakini bado yupo active kwenye game.. big up!
Sijaielewa kabisa
Prof alitakiwa aimbe harakati kama mheshimiwa tunhemuelewa,
Sasa mambo ya vunja mifupa ndo nn
Habari ya mujini ni KATIKA ya navy kenzo feat Diamond