Ushaambiwa ACHA UNGESE.Hivi huyu manzi hela za kufanya yote hayo anazitoaga wapi? Kwa show zipi?
Aisee"Anakwambia nipe bonge LA ndingo usiniletee hicho kibamia"
nikawaza Kumbe Rosa Ree anamfahamu lem bebez
Duh... Kweli tukana washituke! Halafu wakujue, Deal done.Rosa Ree continues to surprise people with her consistence of releasing hit songs. Here is another one from Rosa Ree herself featuring Fik Fameica from Uganda Acha Ungese.
TAZAMA VIDEO:
We shangaa na ana minisupermarketHivi huyu manzi hela za kufanya yote hayo anazitoaga wapi? Kwa show zipi?
Hivi huu wimbo utakatiza kwa hawa BASATA?Ushaambiwa ACHA UNGESE.
BASATA wanaenda na KIKI kama kikitokea kitu kikaKIKI nao wanateleza umo umo kama watu wasipoizungumzia basi itapita fresh bila kukutana na rungu.Hivi huu wimbo utakatiza kwa hawa BASATA?
Rosa Ree continues to surprise people with her consistence of releasing hit songs. Here is another one from Rosa Ree herself featuring Fik Fameica from Uganda Acha Ungese.
TAZAMA VIDEO:
Daaaaa mbona mademu wanaochana hiphop wanatukana sana? hata Frida Aman naye anatukana "napo pull up na masnitch inakuwa Ngese" na huyo Onetime for the mazafaqa kaja na ungese tena.
Ila bado hasikiiUshaambiwa ACHA UNGESE.
π π π π π π[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28]Ila bado hasikii