chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
sijaelewa loloteMbona video haiendani na nyimbo kabisa
Kwan unadhani chura ni nini?Mbona video haiendani na nyimbo kabisa
BasataMbona video haiendani na nyimbo kabisa
Duh! watu mnamtaka chura wenu!Sisi hatutaki chura huyu tunamtaka yule wa mwanzo......halafu huyu snura kumbe umri umesonga!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] umenifanya niwe na ucku poaAmelazimisha tu, chura wa kweli alikuwa yule wa mwanzo,huyu ni panya wala si chura.
Kweli kabisaSnura hajui kuimba,asipoonesha mambo ya hovyo kwenye video zake hamuwezi kupenda mziki wake kabisa.