Video mpya ya Snura Chura hii hapa

Huyu chura wa sasa ni wa mto Msimbazi tunamtaka chura wa bwawa la kihansi
 
Kwahiyo huyu akili yake mwisho Chura... hana idea nyingine. ni sawa na hawa wa singeli ni Shemeji tu.

Hasara.
 
Hamna kitu,, kwanza vyuma hamna wa kutosha
 
Mbona hakuna picha yoyote ya chura,hakuna kunesa,....uhmmm na wamerdia kijistep kimoja tu mda wimbo wote.......duuu kazi ipo
 
Mbona video haiendani na nyimbo kabisa
Sasa afanyeje wakat nchi hii inajfanya n ya kilokole,eti inafuta video mpaka youtube wakati huko youtube kuna video nyingi za ajabu mpaka za ma-gay znaonekana katika nchi hii
 
Eh!!!!!!!!!! basata sasa baad ya kuukubali wimbo huu mtupe na tafsiri yake una mafunzo gani kwa jamiiii !!!!!!!!!!! maana mimi ni kiza tororo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…