mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Jamaa ni pumbavu sanaAnadhihirisha anasitahili yale aliyoyapitia kwenye mitandao ya jamii kipindi alichoondokewa na mpendwa wake.
Adui ujinga hakuwah kuondoka, kkuna kizazi akita miziziYaan kadiri Siku zinavyozidi kwenda, ndivyo ujinga wa waTanzania unazidi kujidhihirisha hadharani..Na sichelei kusema, uenda Tanzania ndio TAIFA linaloongoza kwa kuwa na watu maarufu wapumbavu na vilema wa fikra duniani.
Adioss!!!!!!!!!
Hahahahahahaha wewe jamaa sio Eda ni 40 kwa mujibu ya dini ya khaki na dini ya mwenyeezi mungu.Zile comment za raia kwenye msiba wa mke wake hazijamuingia vzr.
Hv kwanza ameshamaliza eda?
Hv zimeshaisha hizo siku 40 kweli?Hahahahahahaha wewe jamaa sio Eda ni 40 kwa mujibu ya dini ya khaki na dini ya mwenyeezi mungu.
Jamaa ua limebeba kichwa kama pamboUJINGA ni mzigo kwa kiwiliwili cha mpumbavu
Sio kila goli la kumwagia ndani, wengine hawa ni matokeo ya goli la nyege.Jamaa ua limebeba kichwa kama pambo