chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
VYURA WA KENYA HAWANESI NESI MPAKA UJE KWA MAJIRANI ZAKO? teh tehNani neyo bora nikamcheki Snura na Chura wake mi nikajua ni Mzee wa HYFR yaani drake kumbe ni ne-yo hamna kitu hapoo
enzi zake zimepitaje mkuu? mbona ana shine dailyKESHAPITA ZAMA ZAKE
Unayo pesa ya kuingilia kwenye shoo, maneno tu unajifurahisha nafsi.Nani neyo bora nikamcheki Snura na Chura wake mi nikajua ni Mzee wa HYFR yaani drake kumbe ni ne-yo hamna kitu hapoo