Video: Msanii TID ajisifu kulala na Wema sepetu!

Video: Msanii TID ajisifu kulala na Wema sepetu!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Katika usiku wa RnB ulioandaliwa na the Bridge show ya Mlimani TV, line up ya wasanii kadhaa iliperform lakini mnyama TID ambaye amekwisha kutajwa kama moja ya mastaa waliowahi kudate na Wema Sepetu alisuprise sana watu kwa kitendo cha kujisifu jukwani kwamba amewahi kutembea na msanii wa bongo movie Wema sepetu!

katika usiku wa RnB ulioandaliwa na the Bridge show ya mlimani TV, line up ya wasanii kadhaa iliperform lakini mnyama TID ambaye amekwisha kutajwa kama moja ya mastaa waliowahi kudate na Wema Sepetu alisuprise sana watu kwa kitende cha kujisifu jukwani kwamba amewahi kumkaza msanii wa bongo movie Wema sepetu!

Wema Sepetu kakazwa na wengi sana , hata blue naye kamkaza sana
 
Ila wema ana influence kubwa saana ya kurudisha nyota zilizofifia...TID kaona sio ishu ngoja nitembelee nyota ya Wema..hakukuwa na sababu ya kusema recklessly kwamba umemkaza wema..then what? We all know umemkaza wema..kwanini useme hadharani...that's imbecillic.

Don't do drugs guys...it distort your senses of judgement and reasoning and you become insane morfacker...!
 
katika usiku wa RnB ulioandaliwa na the Bridge show ya mlimani TV, line up ya wasanii kadhaa iliperform lakini mnyama TID ambaye amekwisha kutajwa kama moja ya mastaa waliowahi kudate na Wema Sepetu alisuprise sana watu kwa kitende cha kujisifu jukwani kwamba amewahi kumkaza msanii wa bongo movie Wema sepetu!

Kumkaza na kukojoza ni maneno ambayo yako the same?
 
Back
Top Bottom