mr uharoJamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.
Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa kuelekeza vijana kwenye matumizi bora ya dini na kusababisha maafa ambayo hatimaye yalijibiwa na wao wakafa 15,000
View: https://www.youtube.com/watch?v=VAva9VM38uA
View: https://www.youtube.com/watch?v=s5npeqgOx_M
Swali dogo kama hilo anapaniki teyari na kutupa mic sasa huko kwenye vikao vyao kuna kuwa na arguments kweli maana kwenye arguments ndio inapopatikana njia au majawabu mazuri sana..Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.
Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa kuelekeza vijana kwenye matumizi bora ya dini na kusababisha maafa ambayo hatimaye yalijibiwa na wao wakafa 15,000
View: https://www.youtube.com/watch?v=VAva9VM38uA
View: https://www.youtube.com/watch?v=s5npeqgOx_M
semaji gaidi limetema bungo 🤣 😀😛😱Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.
Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa kuelekeza vijana kwenye matumizi bora ya dini na kusababisha maafa ambayo hatimaye yalijibiwa na wao wakafa 15,000
View: https://www.youtube.com/watch?v=VAva9VM38uA
View: https://www.youtube.com/watch?v=s5npeqgOx_M
Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.
Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa kuelekeza vijana kwenye matumizi bora ya dini na kusababisha maafa ambayo hatimaye yalijibiwa na wao wakafa 15,000
View: https://www.youtube.com/watch?v=VAva9VM38uA
View: https://www.youtube.com/watch?v=s5npeqgOx_M
Propaganda from masjid Al Qaeda.Endelea tu kufurahia, sisi tunauwa wanajeshi
View attachment 2828521Taarifa hii imetoka 5 days ago
Na bado tutauwa mpaka muondoke ardhi yetu
Hii mijamaa ni miongo! Israel haijapoteza significant soldiers! Huu ni mtandao wanatengeneza taarifa za uongoEndelea tu kufurahia, sisi tunauwa wanajeshi
View attachment 2828521Taarifa hii imetoka 5 days ago
Na bado tutauwa mpaka muondoke ardhi yetu
Hii mijamaa ni miongo! Israel haijapoteza significant soldiers! Huu ni mtandao wanatengeneza taarifa za uongo
Halafu utakufa kwa presha na uislam utazidI kuimarika dunianiJamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.
Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa kuelekeza vijana kwenye matumizi bora ya dini na kusababisha maafa ambayo hatimaye yalijibiwa na wao wakafa 15,000
View: https://www.youtube.com/watch?v=VAva9VM38uA
View: https://www.youtube.com/watch?v=s5npeqgOx_M
Takbiir.Jamani huyo mtoa tukiwambia kichaa mnabisha huyu anaye uliza swali lakijinga na wanafahamu wazi hata media za Israel zilisema Hamasi hakuwauwa wananchi ni jeshi la Israel kwa kuwa hawana experience ndio waliwauwa wananchi wao.
Hamasi hakuingia kwenye majumba isipokuwa yale yapo kwenye camp za jeshi na hata kuna wanawake wa Israel walisema hawakuwadhuru, huyo mulizaji si ndio kama cnn na bbc wanatunga uwongo.
Kuweka mic chini kaona anaongea si na muandishi wa habari isipokuwa kichaa anauliza swali lisilo kuwa na dalili.
Endelea tu kufurahia, sisi tunauwa wanajeshi
View attachment 2828521Taarifa hii imetoka 5 days ago
Na bado tutauwa mpaka muondoke ardhi yetu
Halafu utakufa kwa presha na uislam utazidI kuimarika duniani
Sio chini ya wanajeshi 3000 wa israel wameuawa dhidi ya HAMAS COMMANDOS, weka list ya Hamas waliouawa dhidi ya waporaji wa kizayuni!Na mazombi yenu yakauawa 15,000....iwaingie akilini Myahudi sio wa kufanyiwa shobo.
Kuimarika kwa uislamu sio issue kwangu maana hata freemason na maushetani mengine yanaimarika, hizi siku zilishatabiriwa, nyote hao mtaimarika na kuongezeka sana na kuzaliana, kwanza hamjafikia kiwango kilichotabiriwa, mtafanya zaidi ya mnachokifanya leo maana shetani kiongozi wenu ndio muda wake huu.
Kutembelea ?...Waliokufa ni collateral damage.
Hamas walikuwa wameenda kutembelea ardhi zao walizofukuzwa na Wazayuni mwaka 1948
Kaona ni uongo na ujinga.Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu.