Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani boss wake hakijui? Mbona na yeye anateleza kwa kiwango cha juu namna hii?Amfundishe boss wake sasa. Life is sharing
Wewe ni muhujumu uchumiKwani boss wake hakijui? Mbona na yeye anateleza kwa kiwango cha juu namna hii?
View attachment 1639632
Inakuwaje!
Humphrey Polepole akiongea Kiingereza enzi hizo. Watu 'wanatokaga' mbali sana.
The problem with January is mbwambafying traits...following his family background(high class). He should be humble creating his own future not relying on his fathers' shoulder. He need to change for better future..bright future is waiting for him.Polepole yuko njema, anafaa uwaziri wa mambo ya nje huyu kijana maana yuko charismatic na anajua kudisarm opponents.
Pia hatumii nguvu kushawishi, amekaa kiinnocent innocent na Yai analijua!, na kiswahili anakijua
Huyu na January Makamba mmojawapo anafaa kuwa waziri wa mambo ya nje na si huyo profesa Kabudi
You nailed it.Haka kazee kachawi inaonekana udogoni kalikulia maisha magumu sana