Video: Mtalimbo Umelala umelala doro

Mimi sinto biti araundi ze bushi, nikiliachia hapa jibu lazima nichezee ban, bora mtumie tafsiri hiyop ya xpin.

Hao bila kuwatafsiria direct hawataki kuelewa. Ngoja nijaribu kwa hili. Mtarimbo ni kikata bikira! Satisfied?
 
ZD naomba ufafanuzi wa hiyo bold kabla sijagonga senksi!
Mchumba bana,mbona unataka kuleta matatizo na shemejio,au ndio unaleta mambo ya shemeji kula? sidhani kama mdogo wangu bht anadanganyika.Lakini mie nakupenda hivyohivyo ulivyo.
 
Bht am counting 8..... 7.......6....

nikusaidie kumalizia 5.....4....3......

una bahati dadangu anakupenda hivo hivo tu....till death doth u apart!!!!
 
Mchumba bana,mbona unataka kuleta matatizo na shemejio,au ndio unaleta mambo ya shemeji kula? sidhani kama mdogo wangu bht anadanganyika.Lakini mie nakupenda hivyohivyo ulivyo.

Hahahaha! Kizuri kula na nduguyo. Bht usidanganyike! Anakunyima bahati huyu!
 
unanitafuta shemeji.....umenipata endelea
bht sasa nimekuelewa yani Iribini ndio yale majina aliyotupa uliyonipiemu? mbona hukunimbia mapema mdogo wangu?
Lakini usijali,yale majina ni ya baraka tu,kama tulivyobarikiwa na Mungu.
Na huyo shemejio umsamehe bure.
 
Hao bila kuwatafsiria direct hawataki kuelewa. Ngoja nijaribu kwa hili. Mtarimbo ni kikata bikira! Satisfied?

and you call that direct tafsiri huh!!!
 
nikusaidie kumalizia 5.....4....3......

una bahati dadangu anakupenda hivo hivo tu....till death doth u apart!!!!

Na wewe nipende japo mara mojamoja basi.
 
Hahahaha! Kizuri kula na nduguyo. Bht usidanganyike! Anakunyima bahati huyu!
Na mie nakuruhusu kama kweli unaweza kudiriki,Mie nakupenda mchumba na nakuahidi ntakuwa mwaminifu kwako mpaka mwisho.
 
bht sasa nimekuelewa yani Iribini ndio yale majina aliyotupa uliyonipiemu? mbona hukunimbia mapema mdogo wangu?
Lakini usijali,yale majina ni ya baraka tu,kama tulivyobarikiwa na Mungu.
Na huyo shemejio umsamehe bure.

Bikira Maria mama wa Yesu na rafiki yake Maria Magdalena! Mimi ndio Yusufu mwenyewe, dume lisilo na wivu!
 
hahaaaaa!!! tunashukuru kwa majina mazuri
 
Bikira Maria mama wa Yesu na rafiki yake Maria Magdalena! Mimi ndio Yusufu mwenyewe, dume lisilo na wivu!
Hahahahaaa,umeamua kuyaweka wazi hayo majina.sisi ni watumishi wa Bwana.Ubarikiwe mchumba.
 
Na mie nakuruhusu kama kweli unaweza kudiriki,Mie nakupenda mchumba na nakuahidi ntakuwa mwaminifu kwako mpaka mwisho.

Nimekugongea senksi! Hata fisi wa mikumi walishuhudia mapenzi yetu!
 
Unataka ban? Rudi kwenye mtalimbo uliolala doro. Ushakutana nao?

ni nomaa mazee, unatumia mbinu zote bado holaaa!! nyonya kitovu bana, hata kama umelala doro kiasi gani 90 Degrees lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…