Video: Mtikila alisema pombe lazima imwagwe na makufuli ya kufunga watu yakatwe!

Video: Mtikila alisema pombe lazima imwagwe na makufuli ya kufunga watu yakatwe!

Inaonekana Mtikila alijua tabia za Magufuli kabla hajapata Urais, alipozungumzia kipengele cha maadili kumuhusu Magufuli hapo ndipo nilitaka kujua alilenga nini zaidi.

Inawezekana matokeo ya hicho kipengele ndio upotevu wa zile 1.5t zilizokuja kupotea baadae kwenye utawala wa Magufuli.

Kumbe hawa wagombea wenza wanaweza kuwa wanazungumza mambo mazito lakini sisi huwa tunayachukulia kwa utani matokeo yake tunakuja kuumia baadae.
 
JK,
Hakika ni hotuba nzuri ya kueleweka.
Nilipata kutoa mhadhara huo hao chini University of Johannesburg mwaka wa 2006:

Muslim Bible Scholars of Tanzania The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 -2005)​

Unknown December 25, 2013 0
INTERNATIONAL SYMPOSIUM ON ISLAMIC CIVILISATION IN SOUTHERN AFRICA
Organised by
The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA)
The National Awaqaf Foundation of South Africa (AWQAF SA)
University of Johannesburg
Venue
University of Johannesburg
1 – 3 September 2006
Muslim Bible Scholars of Tanzania
The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat
(1918 -2005)
Speaker:

Mohamed Said​
 
Inaonekana Mtikila alijua tabia za Magufuli kabla hajapata Urais, alipozungumzia kipengele cha maadili kumuhusu Magufuli hapo ndipo nilitaka kujua alilenga nini zaidi.

Inawezekana matokeo ya hicho kipengele ndio upotevu wa zile 1.5t zilizokuja kupotea baadae kwenye utawala wa Magufuli...

Kumbe hawa wagombea wenza wanaweza kuwa wanazungumza mambo mazito lakini sisi huwa tunayachukulia kwa utani matokeo yake tunakuja kuumia baadae.
Mtikila ni noma. Aliyoyasema ndio hayo hayo 100% yalivyokuwa
 
Makufuli alikuwa ni shetani kamili
Hatari sana mwanamke kam ww kumuita binadamu mwenzako shetani wakati una tanua miguuu unabeba mimba unazaaa je unajua utazaaa kituko gani? Pole kwa kuwa popoma.
 
Back
Top Bottom