Video: Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini, mvua ya mawe iliyonyesha Tarafa ya Machame, Katika wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro

Video: Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini, mvua ya mawe iliyonyesha Tarafa ya Machame, Katika wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro

Hakuna Kifo Wala Uharibifu mkubwa wa mali Wala miundombinu ambao umerekodiwa hadi hivi Sasa.
 
Attachments

  • 5981314cce5848c99836cc7ac839fe1f.mp4
    1.2 MB
Video zikionyesha baadhi ya athari zilizotokana na Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha Mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Hai Tarafa ya machame Mashariki .
Hayo mawe huko juu yalikua sehemu gani? Kwanin muda wote hayakuanguka sababu ya gravitational force mpaka yake yaanguke leo?
 
Kutokana na Mvua hizi je tutegemee kuwapo Kwa janga la njaa Nchini?

Unapotizama video hizo unaona Kwa jinsi Gani mimea imeharibiwa , Moja kati ya video inasikika mwananchu akizungumza kimachame , Akiwa na hofu juu ya kuharibika Kwa mimea ambayo inatumika kama malisho ya Ng'ombe (majani aina ya steria/elephant Grass) ...
 
Attachments

  • 19b6c063db234c9584f152fc68b8c7fb.mp4
    2.8 MB
Hayo mawe huko juu yalikua sehemu gani? Kwanin muda wote hayakuanguka sababu ya gravitational force mpaka yake yaanguke leo?
Mvua ya mawe (kwa Kiingereza hail) ni aina ya mvua ambayo matone ya maji yamefika kwenye uso wa ardhi kwa umbo la vipande vya barafu. Inatokea wakati matone ya maji ya mvua yanapita kwenye hewa baridi na kuganda hadi kuwa barafu.

Wikipedia
 
Kutokana na Mvua hizi je tutegemee kuwapo Kwa janga la njaa Nchini?

Unapotizama video hizo unaona Kwa jinsi Gani mimea imeharibiwa , Moja kati ya video inasikika mwananchu akizungumza kimachame , Akiwa na hofu juu ya kuharibika Kwa mimea ambayo inatumika kama malisho ya Ng'ombe (majani aina ya steria/elephant Grass) ...
Na migomba anakuambia imechanika chanika najani inamaana itakauka
 
Na migomba anakuambia imechanika chanika najani inamaana itakauka
Ndiyo mkuu , Mimi ni mmachame /mchaga najua Uhusiano uliopo kati ya Migomba/mimea wanyama(Ng'ombe) na watu wa machame hapo kiukweli ni Janga kubwa , Of which they were not prepared .

Naaminj serikali yetu tukufu Itafanya jambo
 
Hayo mawe huko juu yalikua sehemu gani? Kwanin muda wote hayakuanguka sababu ya gravitational force mpaka yake yaanguke leo?

Infact ni mvua ya barafu (sio mawe)...

Wabongo wamezoea kuita mvua ya mawe sababu ya ukubwa wa barafu zinazodondoka kuwa kama kokoto (vimawe vidogo)...
 
Hali halisi mvua inayonyesha si mawe bali vipande vya barafu.

Tone zito zaidi lililowahi kupimwa lilinyesha sehemu za Gopalganj (Bangladesh) tarehe 14 Aprili 1986, likiwa la kilogramu 1.02[1].

Kericho nchini Kenya ni sehemu ambayo mvua ya radi hunyesha mara nyingi[2] ni mahali ambako mvua ya mawe inanyesha zaidi kushinda sehemu nyingine za Dunia[3].
 
Back
Top Bottom