Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Hayo mawe huko juu yalikua sehemu gani? Kwanin muda wote hayakuanguka sababu ya gravitational force mpaka yake yaanguke leo?Video zikionyesha baadhi ya athari zilizotokana na Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha Mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Hai Tarafa ya machame Mashariki .
Mvua ya mawe (kwa Kiingereza hail) ni aina ya mvua ambayo matone ya maji yamefika kwenye uso wa ardhi kwa umbo la vipande vya barafu. Inatokea wakati matone ya maji ya mvua yanapita kwenye hewa baridi na kuganda hadi kuwa barafu.Hayo mawe huko juu yalikua sehemu gani? Kwanin muda wote hayakuanguka sababu ya gravitational force mpaka yake yaanguke leo?
Ndio maana tunataka Katiba MpyaHayo mawe huko juu yalikua sehemu gani? Kwanin muda wote hayakuanguka sababu ya gravitational force mpaka yake yaanguke leo?
Na migomba anakuambia imechanika chanika najani inamaana itakaukaKutokana na Mvua hizi je tutegemee kuwapo Kwa janga la njaa Nchini?
Unapotizama video hizo unaona Kwa jinsi Gani mimea imeharibiwa , Moja kati ya video inasikika mwananchu akizungumza kimachame , Akiwa na hofu juu ya kuharibika Kwa mimea ambayo inatumika kama malisho ya Ng'ombe (majani aina ya steria/elephant Grass) ...
Ndiyo mkuu , Mimi ni mmachame /mchaga najua Uhusiano uliopo kati ya Migomba/mimea wanyama(Ng'ombe) na watu wa machame hapo kiukweli ni Janga kubwa , Of which they were not prepared .Na migomba anakuambia imechanika chanika najani inamaana itakauka
Mkuu Elli Bila Mapinduzi ya kifikra katiba mpya Haitasaidia .Ndio maana tunataka Katiba Mpya
Amen 🙏Mkuu Elli Bila Mapinduzi ya kifikra katiba mpya Haitasaidia .
Uwajibikaji ni Moja kati ya Trait Muhimu waliyoikosa viongozi wetu
How ephen?Kipindi hiki migogoro ya ndoa itapungua..
Hayo mawe huko juu yalikua sehemu gani? Kwanin muda wote hayakuanguka sababu ya gravitational force mpaka yake yaanguke leo?
Mvua hii huoni baridi! Ndo wakati wa kutafuta watoto wa kiume...How eohen?
Hii Kali!
Sawa ephen . Ni mwendo wa kukumbatiana siyo . Ila huenda sambamba na uwepo wa mkate wa Nuru (Chakula) .Mvua hii huoni baridi! Ndo wakati wa kutafuta watoto wa kiume...
Hapo sawaInfact ni mvua ya barafu (sio mawe)...
Wabongo wamezoea kuita mvua ya mawe sababu ya ukubwa wa barafu zinazodondoka kuwa kama kokoto (vimawe vidogo)...