Video: Mwanajeshi wa Canada aliyeenda kuisaidia Ukraine aelezea mziki mnene wa majeshi ya Urusi alioushuhudia, asema 'NI BALAA TUPU'!

Hawa majeshi wa marekani wamedakwa mda huu, pengine hawa wameshauwa raia wengi huko nchi za Asia na Arabuni wamekuja kudakwa na Urusi

Hii tunaita malipo hapahapa duniani[emoji16]
 
Oyaaaaa leo nina furaha kuliko siku zote [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]2 former U.S. service members captured by Russian forces near Kharkiv[emoji3538][emoji3538]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…