Video: Mwanaume nayekula Wali anajidhalilisha

Video: Mwanaume nayekula Wali anajidhalilisha

Sijaangalia video lakini kwa kusoma heading tu, no comment...😊
 
Anajua wali maharage huyo? Au kiporo chake asubuh.[emoji23][emoji23][emoji23]. Chukueni bandari tuachieni wali maharage.
Na chai ya rangi ya maviungo na sukari nyingi!!Balaa lake Hapo ni BALAAHH!!
 
sasa tule nini?
vitabu vya dini vinasema tule kwa kiasi ,,,wengine mnasema tusitumie kabisa
 
Back
Top Bottom