OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hawa wahuni ni kundi kubwa, vijana mixer na wazee. Mzee Mpili ameonekana yupo viunga vya uwanja wa Mkapa akaitaka kuingia uwanjani ili kupata kushuhudia mchezo wao wa ligi kuu kati ya Simba. Ambapo kiuhalisia mchezo huo umeharishwa na bodi ya ligi kuu.
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba