Elections 2010 Video na Audio: Wimbo wa Chadema Musoma

Elections 2010 Video na Audio: Wimbo wa Chadema Musoma

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza juu ya wimbo huu. Ninawapatia hapa kwa hisani ya Phillip Mugendi.



Unaweza kuupata katika sauti pekee yake ukiwa remastered by moi.

BONYEZA HAPA while you still can kwani ina limit ya kudownload.
 
Last edited by a moderator:
haki ya Mungu lazma Kikwete afungashe virago vyake Ikulu! safiii hii
 
Thanks Mwanakijiji. Lakini tatizo hizi nyimbo pamoja na uzuri wake hazipatikani sana mitaani. Naamini kama zingekuwa zinapigwa kwa wingi kama zile za CCM, watu wengi wangepata ujumbe husika kupitia hizi nyimbo. Nimeupenda sana wimbo huo. If possible wataalamu wa kuedit nyimbo wauunganishe wimbo huo na huu hapa halafu zitawanywe kwa kasi kubwa ili zimfikie kila mtu:

 
Last edited by a moderator:
Mwanakijiji,
Naomba uniwekee na ule CCM Pressure inapanda inashuka, please.
 
Shukrani sana wakuu kwa hizi nyimbo. I wish Watanzania wapiga KURA ambao hawajafanya maamuzi sahihi wasikie hizi nyimbo wawe wajasiri, watamani mabadiliko bila uoga waseme wamechoka kudanganywa sasa basi wa-wamwage kweli hiyo siku ya siku! Kama inawezekana hizi nyimbo zipigwe Redioni ujumbe uwafikie watu wengi kirahisi kama mkuu Lukolo alivyopendekeza. Jamani tuwamwage kweli! Mwagaaaaa......!!
 
Back
Top Bottom