Video: Nabii Olivia asikika akimpanga muumini apige kelele kuashiria anatolewa mapepo

Bado nakomaa tu japo wengi mtatoka povu hii dini iko weak sana sana.
hilo dhehebu ukisema dini kuna jamaa wanajilipua na kuchinja watu kule kati wengine wanabaka nigeria na kuteka, wengine wakavamia chuo kenya wakaua wakristoooo
 
Ulikuwepo wakati wanawachinja na ukajua hao ni waislam kweli????? Na hao unaosema waliwaua wakristo una uhakika au ulikuwepo eneo la tukio labda sisi hatujui
 
curious gal you are welcome to the truth
 
Ulikuwepo wakati wanawachinja na ukajua hao ni waislam kweli????? Na hao unaosema waliwaua wakristo una uhakika au ulikuwepo eneo la tukio labda sisi hatujui
tuache mambo ya dini nawapenda waislam na wakristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…