Video: Naipenda CCM kwa mema yote waliyofanya nchini toka Uhuru

Video: Naipenda CCM kwa mema yote waliyofanya nchini toka Uhuru

Naipenda CCM Sana Kwa mema yote waliyofanya nchini toka Uhuru

Hii hii sisiemu iliyoshindwa kutatua tatizo la umeme miaka 25? Hayo ni matumizi mabaya sana ya upendo binti, bora umpende mzazi wako tu atakuombea hata baraka. Yani hii ambayo imefanya vijana waliopo chuo kikuu hawajui kama nchi hii haikuwa na shida ya umeme kabla hawajazaliwa, leo hii wanaona kawaida tu, una matatizo ya kufikiri kijana nenda ukaombewe kama tunavyoaamini matatizo yote yanaisha kwa maombi na uchawi!
 
27.jpg
 
Back
Top Bottom