Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Iko Kama hivo unavoionaThe best couple in town..!?
Samahani lakini,Best couple in town ikoje Mamdogo..!?
Ooh...Iko Kama hivo unavoiona
Hivi huyu mtoto ndio alikuwa Analiwa na Mr Blue eenhe..!?Iko Kama hivo unavoiona
Ila ndo analamba blueband hio, ya mtoto white kama mbalamwezi, [emoji39]Mmh jamaa anafanana na usiku wa manane
kusoma na kujua kiingeleza ni vitu viwili tofauti wazee wa masomo ya sayansi hawajui hii lugha mkuu ila wanajificha ili ujifunze kiingeleza ni lazima ukubali kutia aibu upele humuota asie na kuchaIvi jaman tz kuna watoto wengi sana kwann wasirud shule kwan Si Elimu Bure
ni mwanamme mkuu hili jukwaa wamejaa wanaume wa darAlafu utakuta aliyeleta huu uzi ni mwanaume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio blue to wapo kibaoHivi huyu mtoto ndio alikuwa Analiwa na Mr Blue eenhe..!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee u made my nightMmh jamaa anafanana na usiku wa manane
hata mie kama weweMi mwenyew nimejikuta naona aibu kuitazama nikaishia tu kusoma posts
Ila jitaarishe kuhudumia kuanzia hela ya voucher mpaka dawa ya meno. Maana anakuwa si mpenzi tena bali mtoto wako.raha sana ngoja nitafute kiserengeti sasa hawa wazee wapo busy mara watumbuliwe majipu,mara ukuta , pressure tupu wanamuota tu magufuli,ila vivulana hv havina haraka na maisha raha tupu
Hahahaha yani nime wafananisha na wahusika fulani kwenye series ya Tyler perry.. "If loving you is wrong"Wanapendana mpk rahaa
Hahahaha ili dongo limenipiga hadi mimi.... Eti usiku wa manane...Mmh jamaa anafanana na usiku wa manane
Jirani kunywa maji asee atleast uwe saa mbili usiku ha ha haHahahaha ili dongo limenipiga hadi mimi.... Eti usiku wa manane...