Video: Nani kaumiza? Diamond x Patoranking na Ally Kiba x Patoranking

Video: Nani kaumiza? Diamond x Patoranking na Ally Kiba x Patoranking

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,283
Reaction score
541
Ni majuzi tu patoranking kaachia kolabo yake aliyofanya na diamond platnumz a.k.a simba...wakati huo huo nakuletea kolabo ingine aliyofanya patoranking na Ally Kiba, sasa nataka tuwe wazalendo humu tuweke ushabiki maandazi pembeni...tuseme nani kaumiza kati ya hizo kolabo mbili...???

No. 1: [Katika]

No. 2:[ Love you Die ]

ni majuzi tu patoranking kaachia kolabo yake aliyofanya na diamond platnumz a.k.a simba...wakati huo huo nakuletea kolabo ingine aliyofanya patoranking ana ally kiba, sasa nataka tuwe wazalendo humu tuweke ushabiki maandazi pembeni...tuseme nani kaumiza kati ya hizo kolabo mbili...???

No. 1: [Katika]

No. 2:[ Love you Die ]

Nadiliki kusema kuwa mtowa mada hujielewi hata kidogo (bSamahani kama nitakuwa nime kukwaza ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coke Studio!!??

Jiangalie mkuu...

Hamna kitu hapo.
 
Ni majuzi tu patoranking kaachia kolabo yake aliyofanya na diamond platnumz a.k.a simba...wakati huo huo nakuletea kolabo ingine aliyofanya patoranking na Ally Kiba, sasa nataka tuwe wazalendo humu tuweke ushabiki maandazi pembeni...tuseme nani kaumiza kati ya hizo kolabo mbili...???

No. 1: [Katika]

No. 2:[ Love you Die ]

Sikujua kama alikiba ameshirikianA na patoraking asee
 
Site wako poa kwa hizo mbili.
Wote wanajua kuimba shida kiba video sake hovyoooo mpaka basi. Ukiangalia diamond behind the scene anavyobishana na director inaonesha jamaa anaijua kazi afanyifanyi tu ilimradi. Mi nyimbo za kiba napenda tu nisikilize basi.
 
Back
Top Bottom