Nadiliki kusema kuwa mtowa mada hujielewi hata kidogo (bSamahani kama nitakuwa nime kukwaza ?ni majuzi tu patoranking kaachia kolabo yake aliyofanya na diamond platnumz a.k.a simba...wakati huo huo nakuletea kolabo ingine aliyofanya patoranking ana ally kiba, sasa nataka tuwe wazalendo humu tuweke ushabiki maandazi pembeni...tuseme nani kaumiza kati ya hizo kolabo mbili...???
No. 1: [Katika]
No. 2:[ Love you Die ]
Sikujua kama alikiba ameshirikianA na patoraking aseeNi majuzi tu patoranking kaachia kolabo yake aliyofanya na diamond platnumz a.k.a simba...wakati huo huo nakuletea kolabo ingine aliyofanya patoranking na Ally Kiba, sasa nataka tuwe wazalendo humu tuweke ushabiki maandazi pembeni...tuseme nani kaumiza kati ya hizo kolabo mbili...???
No. 1: [Katika]
No. 2:[ Love you Die ]
Mkuu nimekupa like sijui umeiona?Nadiliki kusema kuwa mtowa mada hujielewi hata kidogo (bSamahani kama nitakuwa nime kukwaza ?
Sent using Jamii Forums mobile app