Video ndefu facebook

Joined
Aug 31, 2017
Posts
27
Reaction score
33
Habari zenu wataalamu. Naomba uzoefu jinsi ya kutuma video ndefu facebook za hata 1 hour, 30 minutes au zaidi. Maana nimetumia fb lite app ikapeleka 30s nikatumia fb web ikapeleka 1 minute. Ila pia quality inapotea Sana. Wataalamu mtupe maujuzi. Shukrani
 
Kama unamaanisha messenger nadhani hawasupport video zaidi ya MB 25 ambayo ni ndogo sana na wanafanya compression tumia app nyingine kama Telegram au iupload Google drive kisha share link.
 
Nikishare link itaenda Kama video au link tu?
Kama unamaanisha messenger nadhani hawasupport video zaidi ya MB 25 ambayo ni ndogo sana na wanafanya compression tumia app nyingine kama Telegram au iupload Google drive kisha share link.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…