Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mdau wa simba, halafu sherehe za vijijin full shangwe wote wameconcentrate kwa tukioMi naonaga kama sherehe za ndoa ni ujinga fulani hivi.
Ila huyo mr mwenye nguo nyekundu kama vile haelewi.
AhahahDah! amenikumbusha mbali sana geto langu nilipamba magazeti kama la bwana harusi
Kweli bwana , hapo kila mtu ana furaha isiyo ya kinafki kwa wana harusimdau wa simba, halafu sherehe za vijijin full shangwe wote wameconcentrate kwa tukio
Huyu jamaa alievaa jezi ya simba mnona kama hajapenda Aziz K kumuoa Hamisa?
Mnaenda kunyanduana huku mkisindikizwa na umatiMi naonaga kama sherehe za ndoa ni ujinga fulani hivi.
Ila huyo mr mwenye nguo nyekundu kama vile haelewi.
Mkono umemganda kwenye mshoboboHuyu jamaa alievaa jezi ya simba mnona kama hajapenda Aziz K kumuoa Hamisa?
Mbona kama huyu wa jenzi ya simba anaumia hvi 🤣🤣🤣🤣🤣
Maumivu makali sanaMbona kama huyu wa jenzi ya simba anaumia hvi 🤣🤣🤣🤣🤣