Video; Ngumi(fist fight) kati ya mbunge wa Ukraine na Diplomst Mrusi

Video; Ngumi(fist fight) kati ya mbunge wa Ukraine na Diplomst Mrusi

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632

Wamebishana. Yule alikuwa ameshikilia bendera ya Ukraine, jamaa akampokonya na kuondoka nayo.
Kilichofuatia, ngumi.
 
Mrusi amechakazwa ngumi,hawa jamaa kumbe hata ngumi hawawezi ila wanapenda uchokozi[emoji23][emoji23][emoji28]
 
Hako kazee ka kirusi kajinga sana.

Yeye kimemuuma nini mwenzie kushika Bendera ya Nchi yake?

Ila amepata alichostahili.
 
Back
Top Bottom