Video: Nilidhani mabonge siyo wezi ama vibaka.

Video: Nilidhani mabonge siyo wezi ama vibaka.

Jamaa kapigwa roba la mbao

Sielewi kwanini hawajahangaika na Hilo zigo alilobeba jamaa
 
Daah SA wengi mabonge ndio wezi balaa na wakikaa kwenye Mercedes Benz wakisoma ramani kama ni mgeni utajua ni watu wema kumbe ni wezi balaa muda mwingine utawakuta wameshika Laptop mbovu kama wametoka ofisi kumbe wanataka kuiba tu..
 
Back
Top Bottom