The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na video hii ambayo kwa jicho la haraka inaonesha dereva akikaidi takwa la askari wa usalama barabarani kusimamisha gari. Jamaa ameonekana kugoma kufunga breki hata baada ya askari huyo kusimama mbele ya gari.
Unadhani ni ipi sababu ya huyu bwana kuwa mkaidi? Je, ni namna ya kupinga uonevu unaotekelezwa na baadhi ya wenye mamlaka, au ni raia tu 'wamechafukwa' siku hizi?
Unadhani ni ipi sababu ya huyu bwana kuwa mkaidi? Je, ni namna ya kupinga uonevu unaotekelezwa na baadhi ya wenye mamlaka, au ni raia tu 'wamechafukwa' siku hizi?