The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Kumbe ni coplo huko jeshiniHizi ni zile zama za unanijua mimi ni nani??!!
Huyo driver bila back up ya mtu mzito juu asingethubutu kufanya ujinga huo.
UNAJUA MIMI NI NANI?? 🤣Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na video hii ambayo kwa jicho la haraka inaonesha dereva akikaidi takwa la askari wa usalama barabarani kusimamisha gari. Jamaa ameonekana kugoma kufunga breki hata baada ya askari huyo kusimama mbele ya gari.
Unadhani ni ipi sababu ya huyu bwana kuwa mkaidi? Je, ni namna ya kupinga uonevu unaotekelezwa na baadhi ya wenye mamlaka, au ni raia tu 'wamechafukwa' siku hizi?
View attachment 2511055
Huyo traffic kichwani naye hayuko sawa. Ana risk maisha yake kukaa mbele ya gari hilo.
Hivi atatambuaje kama huyo mwenye gari, akili zake siyo timamu akamparamia
Ova