Video: Nuhu Mziwanda afunguka makubwa kuhusu kupigwa na Shilole, pia kutokujua lugha ya Kingereza

Video: Nuhu Mziwanda afunguka makubwa kuhusu kupigwa na Shilole, pia kutokujua lugha ya Kingereza

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51
Kwa mara ya Kwanza Udaku TV imemtafuta Nuhu Mziwanda na Kufanikiwa kupata Mahojiano kuhusu Mambo kadhaa ambayo yame andikwa sana na Magazeti na pia Mitandaoni ...

Nuhu Mziwanda Ameongea Makubwa Kuhusu Shilole anavyompiga magumi kila mara , Pia ameongea kuhusu Michapio ya Kingereza anayoandikaga kwenye Page yake ya Instagram

Angalia Video Hapa Chini Kutoka Udaku Special TV:

<center></center>
 
Last edited by a moderator:
Pesa hana.... Shule kichwani hana.... Lazima awe mariyoo mjini hapa nina uhakika asilimia 100 shilole akisema dogo amchambe la sivyo anamuacha dogo anamchamba
 
Sasa mbona kavaa saa mbili au hiyo nyingine ni GPS?
 
Sasa kama Shilole limbwata kalifanya mchicha dogo afanyeje? unawajua wanawake wewe ? uliza sangoma idadi ya vy.upi inayosahaulika kule uani.
 
zanzibar is a good high land, , , , nuh yu mek mai dei blaza, hongera kwa kukiri hujui kiingereza, ila unatuaibisha agemates wenzio kwa ubwege ulionao kwa shilole, yaani kakugeuza mke wake
 
zanzibar is a good high land, , , , nuh yu mek mai dei blaza, hongera kwa kukiri hujui kiingereza, ila unatuaibisha agemates wenzio kwa ubwege ulionao kwa shilole, yaani kakugeuza mke wake
Wewe nawe si ndo wale wale..you make my day au you made my day...hi hiiii..kiswahili mbona kizuri tu
 
Huyu ndio yupi mziwanda ni msanii wa fani gani???
 
Siku zote anaehitaji kujifunza haoni aibu....
 
Back
Top Bottom