ile yakuzema Zanzibar is the good high land ndio iliniacha hoi
from ISLAND to HIGH LAND
Si aandike ty kiswahili kwani hua wanalazimishwaa
at least he is honest enough kukiri kua hajui kiingereza........
Wewe nawe si ndo wale wale..you make my day au you made my day...hi hiiii..kiswahili mbona kizuri tuzanzibar is a good high land, , , , nuh yu mek mai dei blaza, hongera kwa kukiri hujui kiingereza, ila unatuaibisha agemates wenzio kwa ubwege ulionao kwa shilole, yaani kakugeuza mke wake
Wewe nawe si ndo wale wale..you make my day au you made my day...hi hiiii..kiswahili mbona kizuri tu