Video of terrorist blowing himself up - Nairobi/Dusit

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Ni kama hili gaidi lilipatwa na mawazo mengi likajilipua nje ya hoteli.
 
Magaidi si wakuonea huruma hata kidogo, popote pale walipo wasakwe na watokomezwe
 
Hehehe!! Sidhani kama lilikua na nia ya kujilipua, litakua lilichanganya vilipuzi, halikua limepata mafunzo ipasavyo maana hainingii akilini ajilipue mwenyewe bila kuwa ndani ya watu walau afe na wachahe, maana kifo chake hakina faida kwa itikadi alizo nazo za kupewa mabikra.
 
mimi nafikiri hii ilikuwa targeted assassination, haiwezekani uwe suicide bomber na hujui kutumia vilipuzi. kuna mtu walikuwa wanamlenga pale ila sijui kama walimpata.
 
Hehehe!! Sidhani kama lilikua na nia ya kujilipua, litakua lilichanganya vilipuzi, halikua limepata mafunzo ipasavyo maana hainingii akilini ajilipue mwenyewe bila kuwa ndani ya watu walau afe na wachahe, maana kifo chake hakina faida kwa itikadi alizo nazo za kupewa mabikra.
Inawezekana alikuwa conered, so hio ikawa ndio last resort...
 
Hehehe!! Sidhani kama lilikua na nia ya kujilipua, litakua lilichanganya vilipuzi, halikua limepata mafunzo ipasavyo maana hainingii akilini ajilipue mwenyewe bila kuwa ndani ya watu walau afe na wachahe, maana kifo chake hakina faida kwa itikadi alizo nazo za kupewa mabikra.
Maybe his senses came back late

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pia nahisi kuwa huyo mlipuaji wa kujitolea mhanga ni mwanamke(mkewe mmoja wa hao magaidi)
 
Back
Top Bottom