Wimbo wa kawaida sana huu kitu ambacho diamond anawazid wenzake ile test ya kuchanganya test za kiafrika. Sasa hivi test zimehama toka USA mpaka Latinos na Africa. Ukiangalia miaka ya karibuni hakuna single ambazo zimetokaa zenye test ya west zikawin kivile. Akitokea MTU ambaye kwa upande wa Kenya wa kumix flavor za kitraditional kama akamba dance na the like akaweka flavor za kinaija kidogo ukaja weka the Congo, mbona mko juu coz kweny mziki mnafundishwa toka LA popo mambo ya akayamba si mchezo, wakat kwetu hakuna hizo mambo