Pre GE2025 VIDEO: Ona Vikao vya CCM vinavyoendeshwa utapenda

Pre GE2025 VIDEO: Ona Vikao vya CCM vinavyoendeshwa utapenda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alafu aje chadema anajinasibu, tutawashangaza... nyokooookooo.
 
View attachment 3266153


==
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndg. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati kuu pamoja na Halmashauri kuu ya CCM , Jijini Dodoma.
Ccm wote wendawazimu, yaani badala ya kueleza wananchi mipango waliyo nayo ya kutatuwa kero za wenyenchi wananchi . wao wanapost video ya nyimba za machawa wao wakisifia na kusimanga wapizani kama vile wapizani wao sio wananchi.
 
Back
Top Bottom