Video: Padri Pascal Luhengo wa jimbo la Mahenge Morogoro amuomba msaada Rais Samia Suluhu baada ya kukimbia nchi na kwenda mafichoni

Padr anataka ale sadaka peke yake wadau wakila anaumia
 
Kuna mambo ya ajabu nchi hii na hii yote ni jiwe na tiss, polisi aliowapa mamlaka ya kuua kudhulumu
Inaonesha taarifa hii inajulikana sana, hii ilitokea lini
 
Yes padre ametoa ushahidi wote na namna fedha zilivyoingia na kutolewa bank, ametoa ushuhuda wa majina na nakala za vitambulisho vya waliotoa fedha wu na bank, mfano huyo mwenye account boa ni mtu anayefahamika na aliitwa akathibitisha kupokea fedha sasa unahitaji ushahidi gani tena au upelelezi gani hapo kama si mchezo mchafu
 
Hii aya imenifikirisha Sana.





“Ni padri wa kwanza kutulalamikia, lakini na sisi tupo kama yeye, ambavyo kuna waumini ambao wanatenda dhambi kila siku, wanatubu mbele yake na kwenye madhabahu, lakini hajaweza kuwafanya wasiendelee kutubu. Kwa mantiki hiyo na sisi tunaendelea kumtafuta huyu mtu."
 
Aisee walifika sehemu mbaya sana yaani ujambazi kila sehemu daah Nchi ilikokua inakwenda kubaya mno Mungu katuepusha na mengi...
 
Its very pissible wakafanya hivyo.
Niliibiwa simu nikarepirt kwao, wakaomba imei number nikawapa wakaomba fedha nikawapa laki nne.
Baadaye wakamkamata mhalifu, akawalipa millions, wakamwachia na hadi sasa wananichenga.
Nikaenda TCRA baada ya kuunganishwa na boss wangu bado wakadai mchezo uko kwa wazee wa kazi.
Hawafai hawafai hata kidogo.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
 
Un
Hivi hawa mapdre sio ndo wanahubiri kwenda mbinguni? Utaendaje mbinguni ukiwa unaogopa kifo
Unaongea utumbo,Yesu na Muhamad kwa nyakati tofauti na kwa maeneo tofauti waliwahi kukimbilia uhamishoni kuepuka kuuwawa.sembuse Padri.
 
Unaongea utumbo,Yesu na Muhamad kwa nyakati tofauti na kwa maeneo tofauti waliwahi kukimbilia uhamishoni kuepuka kuuwawa.sembuse PadPadri
Duh, Yesu angekimbia asingesulubiwa msalabani.. labda huyo Muhamad alikimbia
 
Kuna mambo ya ajabu nchi hii na hii yote ni jiwe na tiss, polisi aliowapa mamlaka ya kuua kudhulumu
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]jiwe alikutenda nini? Kwanza hayupo halafu mambo ya kutekana na wizi wa kimtandao umekujaje hapo
 
Pole sana Rushwa bado ipo Tanzania.
 
Pole yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…