Alimuondoa Etoo kisha akamleta Ibrahimovic, akamuondoa kitasa Yaya Toure kisha akamuweka mrembo Sergio Bisquets. Pep ziliiva na Keita tu yule wa Mali.Inafahamika wazi Pep hapendi Waafrika. Hata Etoo na Yahya Toure walishawahi kulalamika. Sasa hivi Mancity wote wazungu baada ya Gabriel Jesus na Raheem Sterling kuuzwa na Fernandinho kurudi Brazil.
Kitendo hichi kilimuudhi sana Pep hata ukiangalia usoni mwake.
Halafu huyo nigger kiingereza chake bana.
Kwa sababu wanasiasa wana magumashi ya kila ainaKocha wa klabu ya soka walinzi wa kazi gani? Wanasiasa ndio wanahitaji walinzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooooYaani huyo Mmatumbi kama taahira eti "i just want a picture bro" mtu hujui ana stress gani unamkimbilia kutaka picha kilazima bila hata kuomba.... Mashabiki mnatakiwa mjue hao Watu maarufu ni Binaadam pia, wanahisia kama nyie.
Tena mweusi na anakufuatilia nyumaMimi ningempa makofi.. maana ni usiku alafu unamuamini vipi mtu ambae humjui?!
Riyad Mahrez ni mzungu?Inafahamika wazi Pep hapendi Waafrika. Hata Etoo na Yahya Toure walishawahi kulalamika. Sasa hivi Mancity wote wazungu baada ya Gabriel Jesus na Raheem Sterling kuuzwa na Fernandinho kurudi Brazil.
Kitendo hichi kilimuudhi sana Pep hata ukiangalia usoni mwake.
Halafu huyo nigger kiingereza chake bana.
Mkuu hiyo accent ndio ya wenye lugha yao....waingereza ndio wana accent hiyoInafahamika wazi Pep hapendi Waafrika. Hata Etoo na Yahya Toure walishawahi kulalamika. Sasa hivi Mancity wote wazungu baada ya Gabriel Jesus na Raheem Sterling kuuzwa na Fernandinho kurudi Brazil.
Kitendo hichi kilimuudhi sana Pep hata ukiangalia usoni mwake.
Halafu huyo nigger kiingereza chake bana.
Na ni mweusi yule au mwafrika yule????Riyad Mahrez ni mzungu?
Hamorapa tu ana walinzi sembuse pepKocha wa klabu ya soka walinzi wa kazi gani? Wanasiasa ndio wanahitaji walinzi.
Mkuu kwani kua mweusi ndio kua Mwafrika? ina maana waafrika wote waliokua ni weupe wao sio waafrika?Na ni mweusi yule au mwafrika yule????
Hapa suala sio kupenda au kuchukia waafrika, usalama kwanza ukizingatia muda wa tukio.Inafahamika wazi Pep hapendi Waafrika. Hata Etoo na Yahya Toure walishawahi kulalamika. Sasa hivi Mancity wote wazungu baada ya Gabriel Jesus na Raheem Sterling kuuzwa na Fernandinho kurudi Brazil.
Kitendo hichi kilimuudhi sana Pep hata ukiangalia usoni mwake.
Halafu huyo nigger kiingereza chake bana.
Riyad kazaliwa Ufaransa na mpira kaanza kucheza huko, alianza timu ya watoto France ya wakubwa ndiyo kaja Algeria ili apate nafasi ya uhakika kuitwaMkuu kwani kua mweusi ndio kua Mwafrika? ina maana waafrika wote waliokua ni weupe wao sio waafrika?
Riyah Mahrez sio mzungu ni mwafrika kutoka bara la Afrika.
Mkuu,kwa mfano kama na wewe ungezaliwa ufaransa ungekua ni mzungu?Riyad kazaliwa Ufaransa na mpira kaanza kucheza huko, alianza timu ya watoto France ya wakubwa ndiyo kaja Algeria ili apate nafasi ya uhakika kuitwa
Lakini siyo mmatumbiRiyad Mahrez ni mzungu?
Mkuu rudisha avatar picha yako ya awali. Please.Mkuu,kwa mfano kama na wewe ungezaliwa ufaransa ungekua ni mzungu?
Kinacho angaliwa ni origin na sio place of birth,
Sijui hata nimeipotezea wapi aisee,Mkuu rudisha avatar picha yako ya awali. Please.
Pep siyo mwafrika n catalan.
Ila naye ni mtu maarufu na tajiri kuna haja gani ya kuweka maisha yako hatarini kwa kuendesha baiskeli usiku wa manane bila walinzi.
Huyo nigger angemnyuka hata konzi moja tu.