macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Huyo jamaa anafanya kama zezeta. Mtu yoyote angekasirika. Utafikiria ni ''bwabwa''. Huko ni kukosa ustaarabu kabisa. Pole yao watu maaruufu. Ukiwa na hasira unaweza kumpiga mtu risasi, hasa unapokerwa na jinga kama hili.Inafahamika wazi Pep hapendi Waafrika. Hata Etoo na Yahya Toure walishawahi kulalamika. Sasa hivi Mancity wote wazungu baada ya Gabriel Jesus na Raheem Sterling kuuzwa na Fernandinho kurudi Brazil.
Kitendo hichi kilimuudhi sana Pep hata ukiangalia usoni mwake.
Halafu huyo nigger kiingereza chake bana.
Utaitwa kulingana na asili ya ngozi yako mtu mweusi ai mwarabu na si asili ya ngozi yako ilipo. Pia kaa ukijua watu wa Afrika ya kaskazini wengi hawataki kuitwa Waafrika, wanajihesabia ni sawa na waarabu wa Asia tuMkuu,kwa mfano kama na wewe ungezaliwa ufaransa ungekua ni mzungu?
Kinacho angaliwa ni origin na sio place of birth,
Hayo ni mawazo yako na ni maoni yako,But Mwafrika ni mtu ambaye origin yake ni bara la Afrika hata kama kazaliwa Europe,Utaitwa kulingana na asili ya ngozi yako mtu mweusi ai mwarabu na si asili ya ngozi yako ilipo. Pia kaa ukijua watu wa Afrika ya kaskazini wengi hawataki kuitwa Waafrika, wanajihesabia ni sawa na waarabu wa Asia tu
Ni nyinyi tu mnawapapatikia na kuwaita waafrika, wenyewe hawataki hata kuitwa hivyo. Ndiyo maana siwahesabii ni watu wa bara hili, wale ukiona wanakuja kuchezea huku Ni ili wapate namba tu, nchi wanazotoka ushindani ni mkubwa. Hapo ndiyo wanajivalisha uafrika, wengine hata timu za watoto za huko Ulaya walicheza timu ya wakubwa imewakimbiza namba na wanataka kucheza.Hayo ni mawazo yako na ni maoni yako,But Mwafrika ni mtu ambaye origin yake ni bara la Afrika hata kama kazaliwa Europe,
Bata kuzaliwa kwenye banda la Kuku hakumfanyi kua Kuku.
Hueleweki hata point yako ni nini hasa! Mimi naongelea mwafrika ni nani? Wewe unaleta issue sijui kucheza mpira?Ni nyinyi tu mnawapapatikia na kuwaita waafrika, wenyewe hawataki hata kuitwa hivyo. Ndiyo maana siwahesabii ni watu wa bara hili, wale ukiona wanakuja kuchezea huku Ni ili wapate namba tu, nchi wanazotoka ushindani ni mkubwa. Hapo ndiyo wanajivalisha uafrika, wengine hata timu za watoto za huko Ulaya walicheza timu ya wakubwa imewakimbiza namba na wanataka kucheza.
Ila akipata nafasi nchi aliyozaliwa huko, husikii akijiita mwafrika
Nachomaanisha ni kwamba, tuacheni kiherehere cha kuwaita waafrika wakati wenyewe hawataki kuitwa hivyo. Ndiyo tunazidi kudharaulika zaidi wanatuona hovyo, hata kama wana ngozi nyeusi waiteni wamarekani weusi, watu wa ulaya weusi n.kHueleweki hata point yako ni nini hasa! Mimi naongelea mwafrika ni nani? Wewe unaleta issue sijui kucheza mpira?
Hiyo % ndogo tu ya hao wachezaji ndio inayokufanya ushindwe kujua kua mwafrika ni nani?