Video & photo journalist, editor, tx operator, youtube & instagram moderator, straeming live on television, youtube & instagram, content creator

Video & photo journalist, editor, tx operator, youtube & instagram moderator, straeming live on television, youtube & instagram, content creator

BelegheTV

New Member
Joined
Oct 12, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nishafanyaga baadhi ya sehemu kama vile Africa Swahili TV, Dizzim TV and Online, Bongo5.

Naomba kama Kuna mtu atahitaji mtu wa kufanyakazi kama hizo kwenye Television au Online Media hata moja wapo tuwasiliane kwa 0714525809 nina uzoefu wa kutosha 🙏🏾
 
Private channel ya kutoa mafunzo fulani katika social networks and website husika vipi
 
Back
Top Bottom