Video & picha -teaser ya video mpya ya Diamond mdogo mdogo inayotoka kesho

Video & picha -teaser ya video mpya ya Diamond mdogo mdogo inayotoka kesho

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
kesho diamond anaachia video zake mbili,mdogomdogo na bambam aliyoimba na iyanya wa Nigeria.ambayo imelenga soko la nje ..chini ni video link ya teaser ya mdogomdogo aliyoifanyia South Afrika ..pia chin ni baadhi ya picha za vipaNDE vinavyoonekana humo.
https://www.youtube.com/watch?v=VC-WI67VNzQ

New Picture (32).jpg
New Picture (28).jpg
MBEA.jpg
New Picture (37).jpg

New Picture (38).jpg
New Picture (39).jpg
 
Propaganda at work,ukiacha comments za insta na fb uwe unaweka na za jf mzazi.......
 
Sasa hizo comment za nini?
 
kichwa cha habari umesema kesho inatoka video moja tukija kwenye maelezo unatuambia tena zinatoka video mbili sio bure jamaa ni CHA-UPEPO
 
Diamond amekuwa mtanzania wa kwanza kuachia video mbili kwa pamoja siku ya 77.
 
Na mimi ntakua mtanzania wa kwanza kuziona hizo video
 
Kuna habari eti umefukuzwaa kazii na domo
 
Huu wimbo wa mdogo mdogo naona kama haukufaa kuimbwa na diamond japo si mbaya alaf hauja fanyiwa promotion ya kutosha!
 
mimi nitakuwa mtanzania wa mwisho kuona video mbili zilizioachiwa na mtanzania mmoja
 
Hahahahhhahaha Daimond ndiyo msanii wa kwanza kuipaisha Tz kimataifa,
 
Tumewachoka na habari zenu zisizo na msaada Tanzania.
 
Back
Top Bottom