Video Queen wa Diamond “ JEJE” ni balaa..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Haka kadada kamekua maarufu masaa machache baada ya video Mpya ya Diamond “Jeje” kutoka. Umaarufu wake unazidi kuongezeka saa hadi saa kutokana na umaridadi wake wa kukatika na kucheza kwa kujiamini, kitu ambacho kinamfanya bidada huyo ajizolee umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii, licha ya umaridadi wake wa kukatika na kucheza na beat, uzuri na mvuto wa binti huyo vinatajwa kumfanya aonekane zaidi tofauti na video queen wa nyimbo nyingine.

Yani I wish yeye ndio angekua kaimba wimbo wa Tanasha dona “GERE”, maana shoga angu yule anaimba ila kiuno chenyewe anachosema aonyeshe hana[emoji16]

Ila halafu wameendana sana na domo , I hope huyu mbwa hajafanya yake mxieew ..

Sina uhakika kama hii ndo video yake ya kwanza kuifanya au lah, ila bila shaka kaitendea haki video , na tunamkaribisha kwenye ulimwengu wa mastaa, ngoja tuingie mzigon kukagua ma file


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
warumi,
Kwa huyo demu nakupa iko leo, kwanza kabisa ana ngozi nzuri hapa ndo wanatakiwa mademu wa kibongo wajifunze uzuri sio lazima uwe mweupe, ana figure matata na pia ana macho mazuri akikuangalia utazani upo mbinguni kumbe duniani.Huyu demu akienda benki kuomba mkopo anaweza kupewa bila hata kupewa riba.
 
Kazuri aisee...afu ndo type zangu hizo..tatizo mavumba tu....[emoji5]

Binamu una pesa , kupenda mambo makubwa pesa huna mxieew[emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwan nimekuletea wewe , ebu nitolee njaa zako mie mxieew mwanaizaya usiyekua na Haya , sura kavu kama kwapa la mjusi


Sent from my iPhone using JamiiForums
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…