Video Queens wa bongo na skendo za picha chafu!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Hivi karibuni vijana wengi wa kike wanaotumiwa na wasanii wetu katika utengenezaji wa video zao wamekuwa na mtindo mchafu wa kupiga picha za nusu uchi na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii,swali la kujiuliza hapa je ni lazima vijana hawa kukaa nusu uchi ndo wapate kazi au kuna biashara zingine wanazifanya kwa mgongo wa kuwa video queens?maana sasa imekuwa kero kila ukiingia kwenye mitandao ya kijamii unakutana na picha zao kwa kweli ndo maana kumekuwa na wimbi kubwa la kumomonyoka kwa maadili Tanzania!
 
Una mtoto wa kike mkuu ?? Ungependa awe video Queen ? Halafu anapiga picha kama hiyo hapo juu huyo aliyovaa sijui nini nyekundu almanusura uchi uonekane ,utakapo ona picha ya namna hiyo utajisifu what a great archivement !!!

Inawezekana wewe una tatizo la kuelewa
video queen kukaa uchi ni sehemu ya kazi hiyo

Sasa kama mimi nna binti halafu nimruhusu awe video queen.siezi shangaa akipiga picha uchi
kumbuka 'hadi nimruhusu awe video queen'

Hutaki binti yako apige picha uchi basi usimruhusu awe video queen...
 
Kwa kweli mimi ni ki la za kuelewa ni tatizo la kurithi utanisamehe kwa hilo, hivi kumbe hawa wanaokuwa video queen wanapata baraka za wazazi kwanza ?? Kwa hiyo mwanao hawezi kuwa video queen mpaka umruhusu ??
 
Uwiiiiiiieeee yeuwiiuiiiiiuuu auwiiiuiiii jaman Tanzania ishakuwa ulaya ulaya
 
Huyu ni nani.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…