Video queens wa Diamond kwenye my number one

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hii video mpya ya MY NUMBER ONE ya diamond ,imenifany nimkubali sana,nyimbo iko poa sana ila kikubwa kilichofanya niipende ni wale video queens wake jinsi wanavyocheza kwa ubunifu wa hali ya juu,ki ukweli uwa najisikia raha sana wanavyocheza na kujishika shika,dah bas naona rahaa,sana sana pale inapokaribia kuisha dah,watoto wanajua sana wako vizur sana,video imetulia na wadada wamekamua inavyotakiwa,kazi nzuri sana,na style yao ni ngumu sana kui copy

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Na kw taarifa tu,ule uchezaji wao wote Diamond ndie aliewafundisha.
 
Acha uongo ile staili aliwafundisha aliyeibuni Moze,,bisha!!
WATU KUJIFANYA WANAJUA WAKATI HAWAJUI...........
aliebuni uchezaji huo ni Diamond wakati anjiaandaa kwenda kushoot.na aliibuni wakti kwakifanya tu mazoezi ya kawaida
.. akawafundisha dancers ambapo moze ni kiongoz wa dancers
na ndio mana alienda nae kushirik kwenye video pia kusaidia kufundisha hiyo stayle..
 
kwani ukitoa credit kwa Moze,itampunguzia nini Domo?
 
Hujaelewa ulichokisoma hapo juu.??
kwan kuelimishwa kwa kitu ulichozan unajua kumbe hujui.
kuna tatizo gani?

Sidhanii,nina uhakika....na Moze ndio siri ya mafanikio ya show nzuri za Diamond jukwaani....ata ili la kubuni staili ya ngororo mnalifanya siri??na ndio maana ngororo imefeli.
 
Who cares kwamba nani amewafundisha those video queens how to dance?
 
I do care,coz na mm natak kutoa music video ndo maana nauliza nani kawafundisha wale warembo kuyarudi vile na mm anifundishie madancer wangu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
heaven on desert umekwepa swali la Riwa anauliza mbona ngololo inataka kufanana na azonto???

Riwa mm naona kachanganya azonto na kwaito pia kama umeshawah ona wimbo wa micasa - jika ile ndo ngololo kabisa sema wenyewe wanaanzia juu
 
Last edited by a moderator:
Kuiga si kitu kibaya saaaaaaana!!....but me naona ile cheza ya madoido ipo pia kwenye music video ya MI CASA(SouthAfrica)...nyimbo inaitwa JIKA.....Nice moves!!.....Ila na mm nawapemda wale warembo walivyoincorporate hii style kwenye MY NUMBER ONE...
 
Sidhanii,nina uhakika....na Moze ndio siri ya mafanikio ya show nzuri za Diamond jukwaani....ata ili la kubuni staili ya ngororo mnalifanya siri??na ndio maana ngororo imefeli.

Hata hueleweki.
ngoja nikuache kama ulivyo
 
Back
Top Bottom