Hii video mpya ya MY NUMBER ONE ya diamond ,imenifany nimkubali sana,nyimbo iko poa sana ila kikubwa kilichofanya niipende ni wale video queens wake jinsi wanavyocheza kwa ubunifu wa hali ya juu,ki ukweli uwa najisikia raha sana wanavyocheza na kujishika shika,dah bas naona rahaa,sana sana pale inapokaribia kuisha dah,watoto wanajua sana wako vizur sana,video imetulia na wadada wamekamua inavyotakiwa,kazi nzuri sana,na style yao ni ngumu sana kui copy
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Na kw taarifa tu,ule uchezaji wao wote Diamond ndie aliewafundisha.
na kw taarifa tu,ule uchezaji wao wote diamond ndie aliewafundisha.
Na kw taarifa tu,ule uchezaji wao wote Diamond ndie aliewafundisha.
kumbe nawe umo daktari?I love the song...I love the dance..I love the video...lakini kiukweli, ni nini tofauti kati ya 'Ngololo dance' na 'Azompto'? Kuna wakati nahisi Platinumz alikopi ile dance.
heaven on desert comment bila kuwa biased...
Na kw taarifa tu,ule uchezaji wao wote Diamond ndie aliewafundisha.
WATU KUJIFANYA WANAJUA WAKATI HAWAJUI...........Acha uongo ile staili aliwafundisha aliyeibuni Moze,,bisha!!
WATU KUJIFANYA WANAJUA WAKATI HAWAJUI...........
aliebuni uchezaji huo ni Diamond wakati anjiaandaa kwenda kushoot.na aliibuni wakti kwakifanya tu mazoezi ya kawaida
.. akawafundisha dancers ambapo moze ni kiongoz wa dancers
na ndio mana alienda nae kushirik kwenye video pia kusaidia kufundisha hiyo stayle..
kwani ukitoa credit kwa Moze,itampunguzia nini Domo?
Hujaelewa ulichokisoma hapo juu.??
kwan kuelimishwa kwa kitu ulichozan unajua kumbe hujui.
kuna tatizo gani?
Who cares kwamba nani amewafundisha those video queens how to dance?
Who cares kwamba nani amewafundisha those video queens how to dance?
Dah yani we heaven on desert...unaonekana mkorofi kweli!
Sidhanii,nina uhakika....na Moze ndio siri ya mafanikio ya show nzuri za Diamond jukwaani....ata ili la kubuni staili ya ngororo mnalifanya siri??na ndio maana ngororo imefeli.
Kwani na wewe umeulizwa na nani cucoment hapa?