The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Rais wa Marekani Joe Biden amefanya ziara ya kwanza Afrika mapema wiki hii kwenye nchi ya Angola mabapo huko amekutana na viongozi wa Afrika kujadili miradi ya kimaendeleo kwenye nchi hizo.
Katika kipande cha picha kilichochapishwa na gazeti la The Telegraph la Uingereza, Biden anaonekana akifumba macho akiwa kwenye mkutano huo jambo ambalo limezua mijadala kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.