Rais wa Marekani Joe Biden amefanya ziara ya kwanza Afrika mapema wiki hii kwenye nchi ya Angola mabapo huko amekutana na viongozi wa Afrika kujadili miradi ya kimaendeleo kwenye nchi hizo.
Katika kipande cha picha kilichochapishwa na gazeti la The Telegraph la Uingereza, Biden anaonekana akifumba macho akiwa kwenye mkutano huo jambo ambalo limezua mijadala kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Kule kwake kaacha watu wanazozana kuusu atua yake y kumfutia Mashtaka mtoto wake pekee w kiume. Alipofuta tu ile kesi akatoka mbio kuja Africa unaweza sema alipnga kweli trip y kuja Afrika lkn alipanga pia kuitumia kimkakat anajua uko nyumban watu awajamuelewa. Kajipa time aje Afrika kupoteza muda watu wasaau. Lkn zaid ingekuwa awajapoteza uchaguzi au uchaguzi bado asingefanya alichofanya aibu kwa USA.